Sera · Imekaguliwa 04.09.2026
Sera ya faragha
Taarifa gani tunakusanya, jinsi tunavyotumia analytics na cookies, na haki zako kuhusu data yako.
Taarifa tunazokusanya
Tovuti hii haina fomu ya usajili, haiombi namba ya simu na haihifadhi account ya msomaji. Hatukusanyi jina, namba, email wala nyaraka za utambulisho.
Tunatumia takwimu za jumla za matembezi (kurasa zilizotazamwa, chanzo cha trafiki, aina ya kifaa) ili kujua ni maudhui gani yanasaidia. Takwimu hizi hazitumiwi kukutambua wewe binafsi.
Cookies na huduma za nje
Ukibofya link ya affiliate, operator au mtoa huduma wake wa tracking anaweza kuweka cookie kwenye kivinjari chako ili kutambua kwamba umefika kutoka kwetu. Cookie hiyo inasimamiwa na huduma hiyo, siyo na sisi, na inafuata sera yao ya faragha.
Unaweza kuzuia au kufuta cookies kwenye settings za kivinjari chako. Kufanya hivyo hakuathiri uwezo wako wa kusoma kurasa zetu.
Haki zako
Kwa kuwa hatuhifadhi data inayokutambua, hakuna account ya kufuta upande wetu. Ikiwa una swali kuhusu data iliyokusanywa na operator baada ya kubofya link, wasiliana na operator huyo moja kwa moja.